1 Nya. 29:15 SUV

15 Kwani sisi tu wageni mbele zako, na wasafiri, kama walivyokuwa baba zetu wote; ni kama kivuli siku zetu duniani, wala taraji ya kukaa hapana.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 29

Mtazamo 1 Nya. 29:15 katika mazingira