1 Nya. 29:23 SUV

23 Ndipo Sulemani akaketi katika kiti cha enzi cha BWANA, awe mfalme badala ya Daudi babaye, akafanikiwa; nao Israeli wote wakamtii.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 29

Mtazamo 1 Nya. 29:23 katika mazingira