1 Nya. 29:25 SUV

25 Naye BWANA akamtukuza Sulemani mno machoni pa Israeli wote, akampa fahari ya kifalme ya kumpita mfalme awaye yote aliyekuwa kabla yake katika Israeli.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 29

Mtazamo 1 Nya. 29:25 katika mazingira