1 Nya. 29:27 SUV

27 Na wakati aliotawala juu ya Israeli, ulikuwa miaka arobaini; miaka saba alitawala Hebroni, na miaka thelathini na mitatu akatawala Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 29

Mtazamo 1 Nya. 29:27 katika mazingira