1 Nya. 29:5 SUV

5 ya dhahabu, kwa vitu vya dhahabu, na ya fedha kwa vitu vya fedha, na kwa kazi za kila namna zitakazofanywa kwa mikono ya mafundi. Ni nani basi ajitoaye kwa moyo ili ajiweke wakfu leo kwa BWANA?

Kusoma sura kamili 1 Nya. 29

Mtazamo 1 Nya. 29:5 katika mazingira