1 Nya. 3:1 SUV

1 Basi hawa ndio wana wa Daudi, aliozaliwa huko Hebroni; Amnoni, mzaliwa wa kwanza, mwana wa Ahinoamu, Myezreeli; wa pili, Danieli, wa Abigaili, Mkarmeli;

Kusoma sura kamili 1 Nya. 3

Mtazamo 1 Nya. 3:1 katika mazingira