1 Nya. 4:21 SUV

21 Wana wa Shela, mwana wa Yuda; Eri, babaye Leka, na Laada, babaye Maresha, na jamaa zao wa mbari ya wafuma nguo za kitani safi, wa mbari ya Ashbea;

Kusoma sura kamili 1 Nya. 4

Mtazamo 1 Nya. 4:21 katika mazingira