1 Nya. 4:27 SUV

27 Naye Shimei alikuwa na wana wa kiume kumi na sita, na wana wa kike sita; walakini nduguze walikuwa hawana watoto wengi, tena jamaa yao yote haikuongezeka sana kwa mfano wa wana wa Yuda.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 4

Mtazamo 1 Nya. 4:27 katika mazingira