1 Nya. 5:18 SUV

18 Wana wa Reubeni, na Wagadi, na nusu-kabila ya Manase, watu mashujaa, wawezao kuchukua ngao na upanga, na kupiga upinde, wenye ustadi katika kupigana vita, walikuwa watu arobaini na nne elfu mia saba na sitini, walioweza kwenda vitani.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 5

Mtazamo 1 Nya. 5:18 katika mazingira