1 Nya. 5:23 SUV

23 Na wana wa nusu-kabila ya Manase walikaa katika nchi; nao wakaongezeka kutoka Bashani mpaka Baal-hermoni, na Seniri, na mlima Hermoni.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 5

Mtazamo 1 Nya. 5:23 katika mazingira