1 Nya. 5:25 SUV

25 Nao wakamwasi Mungu wa baba zao, wakaenda kufanya uasherati na miungu ya watu wa nchi, ambao Mungu alikuwa amewaangamiza mbele yao.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 5

Mtazamo 1 Nya. 5:25 katika mazingira