1 Nya. 6:54 SUV

54 Basi haya ndiyo makao yao, sawasawa na marago yao mipakani mwao; wana wa Haruni, katika jamaa za Wakohathi; kwani walikuwa na kura ya kwanza;

Kusoma sura kamili 1 Nya. 6

Mtazamo 1 Nya. 6:54 katika mazingira