1 Nya. 6:57 SUV

57 Na wana wa Haruni wakapewa miji ile ya kukimbilia, nayo ni Hebroni, tena Libna pamoja na viunga vyake, na Yatiri, na Eshtemoa pamoja na viunga vyake;

Kusoma sura kamili 1 Nya. 6

Mtazamo 1 Nya. 6:57 katika mazingira