1 Nya. 6:60 SUV

60 tena katika kabila ya Benyamini; Geba pamoja na viunga vyake, na Alemethi pamoja na viunga vyake, na Anathothi pamoja na viunga vyake. Miji yao yote katika jamaa zao ilikuwa miji kumi na mitatu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 6

Mtazamo 1 Nya. 6:60 katika mazingira