1 Nya. 6:62 SUV

62 Na wana wa Gershoni walipewa kwa kura miji kumi na mitatu, sawasawa na jamaa zao, katika kabila ya Isakari, na katika kabila ya Asheri, na katika kabila ya Naftali, na katika kabila ya Manase waliokaa Bashani.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 6

Mtazamo 1 Nya. 6:62 katika mazingira