1 Nya. 6:77 SUV

77 Nao mabaki ya Walawi, wana wa Merari, wakapewa, katika kabila ya Zabuloni; Rimona pamoja na viunga vyake, na Tabori pamoja na viunga vyake;

Kusoma sura kamili 1 Nya. 6

Mtazamo 1 Nya. 6:77 katika mazingira