1 Nya. 7:40 SUV

40 Hao wote ndio wana wa Asheri, wakuu wa mbari za baba zao, watu wateule, hodari wa vita, wakuu wa mashehe. Na hesabu yao waliojumlishwa kwa vizazi vyao kwenda vitani walikuwa watu ishirini na sita elfu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 7

Mtazamo 1 Nya. 7:40 katika mazingira