1 Nya. 8:38 SUV

38 naye Aseli alikuwa na wana sita, ambao majina yao ni haya; Azrikamu, na Bokeru, na Ishmaeli, na Shearia, na Obadia, na Hanani. Hao wote walikuwa wana wa Aseli.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 8

Mtazamo 1 Nya. 8:38 katika mazingira