1 Nya. 9:13 SUV

13 wakuu wa mbari za baba zao; pamoja na ndugu zao; watu elfu na mia saba na sitini; watu wenye ustadi waliofaa sana kwa kazi ya huduma ya nyumba ya Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 9

Mtazamo 1 Nya. 9:13 katika mazingira