16 na Obadia, mwana wa Shemaya, mwana wa Galali, mwana wa Yeduthuni; na Berekia, mwana wa Asa, mwana wa Elkana; waliokaa katika vijiji vya Wanetofathi.
Kusoma sura kamili 1 Nya. 9
Mtazamo 1 Nya. 9:16 katika mazingira