1 Nya. 9:29 SUV

29 Na baadhi yao waliamaniwa kuviangalia vyombo vya nyumbani, na vyombo vyote vya Patakatifu; na kuwa juu ya unga safi, na divai, na mafuta, na ubani, na manukato.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 9

Mtazamo 1 Nya. 9:29 katika mazingira