1 Sam. 10:18 SUV

18 akawaambia wana wa Israeli, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Naliwatoa Israeli kutoka Misri, nami naliwaokoa ninyi na mikono ya Wamisri, na ya falme zote zilizowaonea;

Kusoma sura kamili 1 Sam. 10

Mtazamo 1 Sam. 10:18 katika mazingira