1 Sam. 10:23 SUV

23 Basi wakaenda mbio wakamleta kutoka huko; naye aliposimama kati ya watu, alikuwa mrefu kuliko watu wote, tangu mabega yake kwenda juu.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 10

Mtazamo 1 Sam. 10:23 katika mazingira