1 Sam. 10:3 SUV

3 Kisha utakwenda mbele kutoka hapo, na kufika kwa mwaloni wa Tabori, na hapo watu watatu watakutana nawe, wanaokwea kumwendea Mungu huko Betheli, mmoja anachukua wana-mbuzi watatu, na mwingine anachukua mikate mitatu, na mwingine anachukua kiriba cha divai;

Kusoma sura kamili 1 Sam. 10

Mtazamo 1 Sam. 10:3 katika mazingira