1 Sam. 10:8 SUV

8 Nawe utatelemka mbele yangu mpaka Gilgali; nami, angalia, nitakutelemkia huko, ili kutoa sadaka za kuteketezwa, na kuchinja sadaka za amani; siku saba utangoja, hata nitakapokujia, na kukuonyesha yatakayokupasa kuyafanya.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 10

Mtazamo 1 Sam. 10:8 katika mazingira