1 Sam. 11:11 SUV

11 Ikawa, kesho yake, Sauli akawapanga watu katika vikosi vitatu; nao wakaingia katikati ya marago kwenye zamu ya asubuhi, wakawapiga Waamoni hata wakati wa jua kali; kisha ikawa wale waliosalia wakatawanyika, hata wasiachwe wawili wao pamoja.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 11

Mtazamo 1 Sam. 11:11 katika mazingira