1 Sam. 11:13 SUV

13 Lakini Sauli akasema, Hakuna mtu atakayeuawa leo, maana leo BWANA amefanya wokovu katika Israeli.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 11

Mtazamo 1 Sam. 11:13 katika mazingira