1 Sam. 11:15 SUV

15 Nao watu wote wakaenda Gilgali; wakamtawaza Sauli mbele za BWANA huko Gilgali; wakachinja sadaka za amani mbele za BWANA; na huko Sauli na watu wote wa Israeli wakafurahi sana.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 11

Mtazamo 1 Sam. 11:15 katika mazingira