1 Sam. 11:3 SUV

3 Basi wazee wa Yabeshi wakamjibu, Tuachie siku saba, ili tutume wajumbe waende mipakani mwote mwa Israeli; kisha, ikiwa hakuna atakayetuokoa, tutakutokea.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 11

Mtazamo 1 Sam. 11:3 katika mazingira