1 Sam. 11:6 SUV

6 Na roho ya Mungu ikamjilia Sauli kwa nguvu, hapo alipoyasikia maneno yale, na hasira yake ikawaka sana.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 11

Mtazamo 1 Sam. 11:6 katika mazingira