1 Sam. 11:9 SUV

9 Nao wakawaambia hao wajumbe waliokuja, Waambieni watu wa Yabesh-gileadi, Kesho, wakati wa jua kali, mtapata wokovu. Basi wale wajumbe wakaenda, wakawaarifu watu wa Yabeshi; nao walifurahiwa.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 11

Mtazamo 1 Sam. 11:9 katika mazingira