20 Samweli akawaambia, Msiogope; ni kweli mmeutenda uovu huu wote; lakini msigeuke na kuacha kumfuata BWANA, bali mtumikieni BWANA kwa mioyo yenu yote.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 12
Mtazamo 1 Sam. 12:20 katika mazingira