1 Sam. 12:6 SUV

6 Samweli akawaambia watu, Ni yeye BWANA aliyewaweka Musa na Haruni, ndiye yeye aliyewatoa baba zenu kutoka nchi ya Misri.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 12

Mtazamo 1 Sam. 12:6 katika mazingira