1 Sam. 12:8 SUV

8 Yakobo alipokuwa ameingia Misri, na baba zenu walipomlilia BWANA, ndipo BWANA akawapeleka Musa na Haruni, nao wakawatoa baba zenu kutoka Misri, wakawakalisha mahali hapa.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 12

Mtazamo 1 Sam. 12:8 katika mazingira