1 Sam. 13:10 SUV

10 Hata mara alipokwisha kuitoa hiyo sadaka ya kuteketezwa, kumbe! Samweli akatokea. Naye Sauli akatoka kwenda kumlaki na kumsalimu.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 13

Mtazamo 1 Sam. 13:10 katika mazingira