19 Basi, hakuonekana mhunzi ye yote katika nchi yote ya Israeli; kwa kuwa Wafilisti walisema, Waebrania wasije wakajifanyizia panga au mikuki;
Kusoma sura kamili 1 Sam. 13
Mtazamo 1 Sam. 13:19 katika mazingira