1 Sam. 13:4 SUV

4 Waisraeli wote wakasikia habari ya kwamba Sauli ameipiga hiyo ngome ya Wafilisti, na ya kwamba Waisraeli wamepata kuwa makuruhi kwa Wafilisti. Basi hao watu wakakusanyika pamoja kumfuata Sauli huko Gilgali.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 13

Mtazamo 1 Sam. 13:4 katika mazingira