6 Hata Waisraeli walipoona ya kuwa wa katika dhiki, (maana watu walifadhaishwa), ndipo hao watu wakajificha katika mapango, na katika vichaka, na katika miamba, na katika mashimo, na katika mabirika.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 13
Mtazamo 1 Sam. 13:6 katika mazingira