1 Sam. 14:24 SUV

24 Nao watu wa Israeli walisumbuka sana siku ile; lakini Sauli alikuwa amewaapisha watu, akisema, Na alaaniwe mtu awaye yote alaye chakula cho chote hata jioni, nipate kujilipiza kisasi juu ya adui zangu. Basi hakuna mtu miongoni mwa watu aliyeonja chakula.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 14

Mtazamo 1 Sam. 14:24 katika mazingira