1 Sam. 14:26 SUV

26 Na hapo watu walipokwisha kuingia mwituni, tazama, hiyo asali ilikuwa ikidondoka; walakini hakuna mtu hata mmoja aliyetia mkono wake kinywani; kwa sababu hao watu walikuwa wakikiogopa kile kiapo.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 14

Mtazamo 1 Sam. 14:26 katika mazingira