1 Sam. 14:28 SUV

28 Ndipo mmojawapo wa watu akamjibu, akasema, Baba yako aliwaagiza watu sana kwa kiapo, akisema, Na alaaniwe mtu alaye chakula leo. Na hao watu walikuwa wamepungukiwa na nguvu.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 14

Mtazamo 1 Sam. 14:28 katika mazingira