1 Sam. 14:37 SUV

37 Basi Sauli akataka shauri kwa Mungu, Je! Nishuke ili kuwafuatia Wafilisti? Je! Utawatia mikononi mwa Israeli? Lakini hakumjibu neno lo lote siku ile.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 14

Mtazamo 1 Sam. 14:37 katika mazingira