1 Sam. 14:4 SUV

4 Na katikati ya mianya, ambayo Yonathani alitaka kuipitia ili kuifikilia hiyo ngome ya Wafilisti, palikuwa na genge la jabali upande huu, na genge la jabali upande huu; jina la moja liliitwa Bosesi, na jina la pili Sene.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 14

Mtazamo 1 Sam. 14:4 katika mazingira