1 Sam. 14:40 SUV

40 Ndipo akawaambia Israeli wote, Ninyi mtakuwa upande mmoja, na mimi na mwanangu Yonathani tutakuwa upande wa pili. Basi wakamwambia Sauli, Fanya uonayo kuwa ni mema.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 14

Mtazamo 1 Sam. 14:40 katika mazingira