1 Sam. 14:47 SUV

47 Basi Sauli alipokwisha kuutwaa ufalme juu ya Israeli, alipigana na adui zake zote pande zote, juu ya Moabu, na juu ya wana wa Amoni, na juu ya Edomu, na juu ya wafalme wa Soba, na juu ya Wafilisti; na po pote alipogeukia, akawashinda.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 14

Mtazamo 1 Sam. 14:47 katika mazingira