1 Sam. 14:50 SUV

50 na jina lake mkewe Sauli aliitwa Ahinoamu, binti Ahimaasi. Tena, jina la jemadari wa jeshi lake aliitwa Abneri, mwana wa Neri, aliyekuwa baba mdogo wa Sauli.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 14

Mtazamo 1 Sam. 14:50 katika mazingira