1 Sam. 15:11 SUV

11 Najuta kwa sababu nimemtawaza Sauli awe mfalme; maana amerudi nyuma, asinifuate, wala hakufanya nilivyomwamuru. Samweli akasikitika, akamlilia BWANA usiku kucha.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 15

Mtazamo 1 Sam. 15:11 katika mazingira