1 Sam. 15:15 SUV

15 Sauli akasema, Wamewaleta kutoka kwa Waamaleki; maana watu waliwaacha hai kondoo na ng’ombe walio wazuri, ili wawatoe dhabihu kwa BWANA, Mungu wako, nao waliosalia tumewaangamiza kabisa.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 15

Mtazamo 1 Sam. 15:15 katika mazingira