1 Sam. 15:3 SUV

3 Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng’ombe na kondoo, ngamia na punda.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 15

Mtazamo 1 Sam. 15:3 katika mazingira