1 Sam. 15:6 SUV

6 Sauli akawaambia Wakeni, Haya! Enendeni zenu, mkashuke ili kujitenga na Waamaleki, nisije nikawaangamiza ninyi pamoja nao; maana mliwatendea wana wa Israeli mema, walipopanda kutoka Misri. Basi hao Wakeni wakaondoka, wakajitenga na Waamaleki.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 15

Mtazamo 1 Sam. 15:6 katika mazingira